POPNABLE tanzania tanzania

  • Ukurasa wa nyumbani
  • Radio Hits 2024
  • Radio Popnable
  • Sajili
  • Ingia
  • Gundua
    • Gundua
    • Nyimbo
    • Wasanii Wa Muziki
  • Chati Za Muziki
    • Chati Za Muziki
    • Nyimbo 100 Kali - Kila Siku
    • Nyimbo 100 Bora - Kila Siku
    • Nyimbo 40 Bora
  • Ukurasa wa nyumbani
  • tanzania
  • Nyimbo
  • Usichelewe
  • Maandishi Na Tafsiri

Maandishi Na Tafsiri - Usichelewe

— iliyoimbwa na Walter Chilambo

"Usichelewe" maneno na tafsiri. Gundua ni nani aliyeandika wimbo huu. Tafuta ni nani mtayarishaji na muongozaji wa video hii ya muziki. "Usichelewe" mtunzi, nyimbo, mpangilio, majukwaa ya utiririshaji, na kadhalika. "Usichelewe" ni wimbo ulioimbwa kwenye kiswahili. "Usichelewe" inaimbwa na Walter Chilambo
  • Ukurasa wa nyumbani
  • maandishi na tafsiri
  • chati za muziki
  • takwimu
  • mapato
  • nunua wimbo
Usichelewe Muziki wa video
Download New Songs

Listen & stream

×

Tazama kwenye Youtube

×
Video
Usichelewe
Nchi


 Tanzania Tanzania
Imeongezwa
01/01/1970
Ripoti
[Haihusiani na muziki ] [Ongeza Msanii Husika] [Ondoa Msanii Aliyeunganishwa] [Ongeza Nyimbo] [Ongeza Tafsiri ya Maneno]

"Usichelewe" Maneno ya Nyimbo

"Usichelewe" ina maneno katika lugha kiswahili.
"Usichelewe" maana inatokana na lugha kiswahili na kwa sasa haijabadilishwa hadi tafsiri ya Kiingereza.

#WalterChilambo #Usichelewe #Wachi

In "Usichelewe," Walter Chilambo shares with you a heartfelt and powerful message about the struggles we face when dealing with depression, hopelessness, and the harsh realities of life.

This song speaks directly to anyone who's ever felt like the weight of the world is too much to bear — a reminder that you're not alone but God (JESUS) is with you in every Situation you are passing through. Don't Give up, keep God First in everything you do.

Stream & Download USICHELEWE on All Digital Platforms:


Stay Connected with Walter Chilambo on Social Media:
INSTAGRAM:
TIKTOK: @walterchilambo

Song: Usichelewe
Song written by: Walter Chilambo
Audio Produced by Foxx Made it
Mixing and Mastering by WACHI
Artwork designed by AP Creative

Video Directed by Mphuru (Vivid)

___________________________________
USICHELEWE LYRICS:

Aaaah .......Walter tenaaa

Verse 1

Mungu wangu,
naomba niongee na wewe
Hata kidogo
Nasikia uchungu ndani ya Moyo

Mambo yamekuwa mazito
Na siwezi peke yangu
Naona maumivu ndani ya moyo

Na umesema walipo wawili wewe upo
Najiuliza nikiwa peke yangu je we upo?

Ni kweli na imani
Lakini kuna muda nachoka
Na si kwamba sikuamini
Nakuamini sanaa

HOOK
Nimeomba,nimefunga na nimetoa sadaka
Ila mambo yanayumba,fanya hima uje haraka

Bridge
Basi uniambie mi (Ni wapi nakosea)
Baba uniambie mi (Niwapi nakosea)
Yesu uniambie eehh (Niwapi nakosea)
Baba uniambie Mi niwapi nakosea nakuomba

CHORUS
( nachoka, nachoka )
( Tazama Moyo umechoka )
( Nitangoja, ntangoja )
( Mi mwanao bado ntangoja )

VERSE 2

Wenzangu wana MARAFIKI
Wa kuwaambia shida zao
Na mimi we ndio wangu RAFIKI
Ninakuambia haja zangu


Utanibariki mjini na mashambani

Niingiapo na nitokapo nitabarikiwa

Fedha na dhahabu vyote ni mali yako

Nikiomba utanipa zaidi ya niombavyo

HOOK
Nimeomba,nimefunga na nimetoa sadaka
Ila mambo yanayumba,fanya hima uje haraka

Bridge
Basi uniambie mi (Ni wapi nakosea)
Baba uniambie mi (Niwapi nakosea)
Yesu uniambie eehh (Niwapi nakosea)
Baba uniambie Mi niwapi nakosea nakuomba

CHORUS
( nachoka,nachoka )
( Tazama Moyo umechoka )
( Nitangoja ,ntangoja )
( Mi mwanao bado ntangoja )


All rights reserved by Walter Chilambo ©2025

Popnable © 2015-2025

About ToS What's New Contact Us Privacy Copyrights (DMCA)