"Birthday" Maneno ya Nyimbo
"Birthday" ina maneno katika lugha kiswahili.
"Birthday" maana inatokana na lugha kiswahili na kwa sasa haijabadilishwa hadi tafsiri ya Kiingereza.
Hii ndiyo siku aliyoifanya Mwenyezi-Mungu; tushangilie na kufurahi. - Zaburi 118:24
#happybirthday
Streaming Music Platforms:
Lyrics
Happy happy
Waulika
Happy
Today we are happy
Happy happy
Today we are happy
Happy happy
Today we are happy
Happy happy
Today we are happy
Happy birthday
Happy Birthday to you
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday
Happy Birthday to you
Happy birthday
Happy birthday to you
Asante MUNGU
Asante Baba
Bila wewe Asingefika hapa
Thank you Mama
Thank you Papa
Tunashukuru wazazi kwa kumzaa
Asante MUNGU
Asante Baba
Bila wewe Asingefika hapa
Thank you Mama
Thank you Papa
Tunashukuru wazazi kwa kumzaa
Washa mishumaa tusheherekee
Tumekuja na zawadi zipokee
Washa mishumaa tusheherekee
Tumekuja na zawadi zipokee
Tule tunywe tucheze na tufurahi
Kata keki tule na tujidai
Tule tunywe tucheze na tufurahi
Kata keki tule
Wacha Maneno weka Muziki
Tumekuja kufurahi
Waambie marafiki
Asiecheza hali keki
Dj walete
Marafiki wafurahi
Waambie marafiki
Asiecheza hali keki
Today we are happy
Happy happy
Today we are happy
Aah we are happy
Happy Birthday to you
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday
Video Director: Pacha GFX7