POPNABLE kenya kenya

  • Ukurasa wa nyumbani
  • Radio Hits 2024
  • Radio Popnable
  • Sajili
  • Ingia
  • Gundua
    • Gundua
    • Nyimbo
    • Wasanii Wa Muziki
  • Chati Za Muziki
    • Chati Za Muziki
    • Nyimbo 100 Kali - Kila Siku
    • Nyimbo 100 Bora - Kila Siku
    • Nyimbo 40 Bora
  • Ukurasa wa nyumbani
  • kenya
  • Nyimbo
  • Moyo
  • Maandishi Na Tafsiri

Maandishi Na Tafsiri - Moyo

— iliyoimbwa na Willy Paul

"Moyo" maneno na tafsiri. Gundua ni nani aliyeandika wimbo huu. Tafuta ni nani mtayarishaji na muongozaji wa video hii ya muziki. "Moyo" mtunzi, nyimbo, mpangilio, majukwaa ya utiririshaji, na kadhalika. "Moyo" ni wimbo ulioimbwa kwenye kiswahili. "Moyo" inaimbwa na Willy Paul
  • Ukurasa wa nyumbani
  • maandishi na tafsiri
  • chati za muziki
  • takwimu
  • mapato
  • nunua wimbo
Moyo Muziki wa video
Download New Songs

Listen & stream

×

Tazama kwenye Youtube

×
Video
Moyo
Nchi


 Kenya Kenya
Imeongezwa
01/01/1970
Ripoti
[Haihusiani na muziki ] [Ongeza Msanii Husika] [Ondoa Msanii Aliyeunganishwa] [Ongeza Nyimbo] [Ongeza Tafsiri ya Maneno]

"Moyo" Maneno ya Nyimbo

"Moyo" ina maneno katika lugha kiswahili.
"Moyo" maana inatokana na lugha kiswahili na kwa sasa haijabadilishwa hadi tafsiri ya Kiingereza.

#WillyPaul #saldidointernational #moyo
song : Moyo
composer : Willy Paul
producer : Sad Beat
mixed and mastered by : Teddy B
label : saldido international ltd

Lyrics

VERSE 1

Mmm nashangaa
Mbona nahisi baridi
Usiku mwenzako silali
Mchana hata sitembei
Wamenipima ugonjwa wa moyo
Wamesema imejaa simanzi
Niarakishe nipone haraka
Sitamake it (sitamake it)


BRIDGE

Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby, uu baby
Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby, uu baby

CHORUS

Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)

VERSE 2

Nimekuwaaaza mpaka nikaganda uboongo
Ubongo unalipuka
Nafsi inanisuta
Eeeee
Uu wamefanya utafiti wa ndani
Wakapata niwe ndiwe dawa
Yakutibu mutima wangu maa…ma
Usiwache nife hivi ma…ma

BRIDGE

Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby uu baby
Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby uu baby

CHORUS

Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo

VERSE 3

Uu… Baby
Washanambia nikuwachage
Kama mate nikutemage…
Bado nakupenda tu day by day
(bado nakupenda tu day by day)
Naribu kukuwacha siwezi…
Akilini hautoki
Kweli baby we ndo pedi wa mapenzii (pedi wa mapenzi)

BRIDGE

Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby, uu baby
Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby uu baby

CHORUS

Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)

OUTRO

Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mmm mo mo mo moyo

Popnable © 2015-2025

About ToS What's New Contact Us Privacy Copyrights (DMCA)