POPNABLE kenya kenya

  • Ukurasa wa nyumbani
  • Radio Hits 2024
  • Radio Popnable
  • Sajili
  • Ingia
  • Gundua
    • Gundua
    • Nyimbo
    • Wasanii Wa Muziki
  • Chati Za Muziki
    • Chati Za Muziki
    • Nyimbo 100 Kali - Kila Siku
    • Nyimbo 100 Bora - Kila Siku
    • Nyimbo 40 Bora
  • Ukurasa wa nyumbani
  • kenya
  • Nyimbo
  • Toto
  • Maandishi Na Tafsiri

Maandishi Na Tafsiri - Toto

— iliyoimbwa na Willy Paul

"Toto" maneno na tafsiri. Gundua ni nani aliyeandika wimbo huu. Tafuta ni nani mtayarishaji na muongozaji wa video hii ya muziki. "Toto" mtunzi, nyimbo, mpangilio, majukwaa ya utiririshaji, na kadhalika. "Toto" ni wimbo ulioimbwa kwenye kiswahili. "Toto" inaimbwa na Willy Paul
  • Ukurasa wa nyumbani
  • maandishi na tafsiri
  • chati za muziki
  • takwimu
  • mapato
  • nunua wimbo
Toto Muziki wa video
Download New Songs

Listen & stream

×

Tazama kwenye Youtube

×
Video
Toto
Nchi


 Kenya Kenya
Imeongezwa
01/01/1970
Ripoti
[Haihusiani na muziki ] [Ongeza Msanii Husika] [Ondoa Msanii Aliyeunganishwa] [Ongeza Nyimbo] [Ongeza Tafsiri ya Maneno]

"Toto" Maneno ya Nyimbo

"Toto" ina maneno katika lugha kiswahili.
"Toto" maana inatokana na lugha kiswahili na kwa sasa haijabadilishwa hadi tafsiri ya Kiingereza.

#WillyPaul #saldidointernational #toto #theafricanexperiencealbum
ARTIST: WILLY PAUL
COMPOSER: WILLY PAUL
PRODUCER: SAV BEAT
LABEL: SALDIDO INTERNATIONAL +254 113797202 / SALDIDOINT@
MIXED AND MASTERED BY : TEDDY B

WILLY PAUL TOTO Lyrics

Haa Haa- Haa
Michezo Yako Kinasty Nasty,
Biggy Biggy Heavy Heavy,
Mama Mimi Napendaga,
Uuaaahhoo

Ulivyoshona Konongo Nongo,
Ukidunga Sketi Alafu Uiname Chini,
Unanimaliza Mmmh

Ukifunga Dera Unanimaliza
Michezo Ya Chumbani, Oi Nakufa
Unanimaliza Ooh Mama

Wewe Ni, My Sugar Sukari,
Ulivyozidi Utamu, Nikuite Asali

To-to-to Mama
To-to Toto Mama
To-to-to Mama
To-to Toto Mama

Hey Hey Toto Toto
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto
Oh Toto Toto-oh To
Hey Hey Toto Toto
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto

Una Siri Gani Hapo Kwa Mauno,
Mtoto Wa Salome Anamwaga Mpaka Bone Marrow
Hey Baby !!
Au Labda Unatumia Annointing Oil Vibaya,
Coz Unavyorombosa Kwa Paja Rombosa,
Sijawai Ona

Toto Uko Heavy Nibebe Bebe,
Nizame Topeni Nigware Gware,
Si Mi Ndiye Fundi Wa Kuchelewesha
Bwana Slow Motion

Na Wazee Wa Boma
Walishasema Ni We Mama Lao
Basi Mi Ndio Baba Lao
(Oooh Yaga Yaaah)

Na Wazee Wa Boma,
Walishasema Ni We Mama Lao
Heeyy !!
Basi Mi Ndio Baba Lao (Baby)

To-to-to Mama
To-to Toto Mama
To-to-to Mama
To-to Toto Mama

Hey Hey Toto Toto
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto
Oh Toto Toto-oh To
Hey Hey Toto Toto
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto

Hey Hey Toto Toto
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto
Oh Toto Toto-oh To
Hey Hey Toto Toto
Unanimada Toto Ooh, Hey Toto

Popnable © 2015-2025

About ToS What's New Contact Us Privacy Copyrights (DMCA)