POPNABLE kenya kenya

  • Ukurasa wa nyumbani
  • Radio Hits 2024
  • Radio Popnable
  • Sajili
  • Ingia
  • Gundua
    • Gundua
    • Nyimbo
    • Wasanii Wa Muziki
  • Chati Za Muziki
    • Chati Za Muziki
    • Nyimbo 100 Kali - Kila Siku
    • Nyimbo 100 Bora - Kila Siku
    • Nyimbo 40 Bora
  • Ukurasa wa nyumbani
  • kenya
  • Nyimbo
  • Nairobi
  • Maandishi Na Tafsiri

Maandishi Na Tafsiri - Nairobi

— iliyoimbwa na Sauti Sol , Mejja , Bensoul , Nviiri The Storyteller

"Nairobi" maneno na tafsiri. Gundua ni nani aliyeandika wimbo huu. Tafuta ni nani mtayarishaji na muongozaji wa video hii ya muziki. "Nairobi" mtunzi, nyimbo, mpangilio, majukwaa ya utiririshaji, na kadhalika. "Nairobi" ni wimbo ulioimbwa kwenye kiswahili. "Nairobi" inaimbwa na Sauti Sol , Mejja , Bensoul , Nviiri The Storyteller
  • Ukurasa wa nyumbani
  • maandishi na tafsiri
  • chati za muziki
  • takwimu
  • mapato
  • nunua wimbo
Nairobi Muziki wa video
Download New Songs

Listen & stream

×

Tazama kwenye Youtube

×
Video
Nairobi
Nchi


 Kenya Kenya
Imeongezwa
01/01/1970
Ripoti
[Haihusiani na muziki ] [Ongeza Msanii Husika] [Ondoa Msanii Aliyeunganishwa] [Ongeza Nyimbo] [Ongeza Tafsiri ya Maneno]

"Nairobi" Maneno ya Nyimbo

"Nairobi" ina maneno katika lugha kiswahili.
"Nairobi" maana inatokana na lugha kiswahili na kwa sasa haijabadilishwa hadi tafsiri ya Kiingereza.

STREAM/DOWNLOAD NARIOBI:

Written by: Benson Mutua, Bien-Aimé Baraza & Mejja Khadija
Performed by: Bensoul, Sauti Sol, Nviiri the Storyteller & Mejja
Composed & Arranged by: SoFresh254, Bensoul, Savara, Bien & Mejja
Produced by: SoFresh254, Bensoul, Savara & Mbogua
Recorded by: Eric Fernandes, Sam Are (Supadrum) & Trevor Magak
Mixed by: Trevor Magak, Fancy Fingers & Sharon Onyango-Obbo
Mastered by: Trevor Magak
Horns: Hornsphere
Guitars: Fancy Fingers
Bass Guitar: Yvan Kwizera
Background Vocals: Akisa Wangari
Recorded at Sol Generation Records & Snowball Industries

VIDEO CONCEPT: Bensoul & Roadman
Directed by: Roadman
Edited by: Rodney Wachira
Produced by: Tom Olang'o
Executive production Sol Generation Records

FOLLOW BENSOUL ON:
Facebook:
Twitter:
Instagram:

NAIROBI LYRICS

Habari mbaya zimenifikia
Mandugu zangu wananikulia
Kumbe sahani yangu ni sinia
Na inaniuma sana

Yule mpenzi niliaminia
Nikamueka mbele ya dunia
I must be trippin nikikurudia
Umenitesa sana.

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

Marashi yako yalinivutia
Siku ya kwanza ulipopitia
Kumbe si mi pekee nilinusia
Yolanda ya lavender

Na mbogi yangu iliniambia
Eti nikusare but sikusikia
I don’ wanna do this shit no more my dear
Najuta kupendana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

Gonga, gonga like x4

Rieng, rada
Siku hizi madame ni blanda
Jana cuzo alimkaza
He’s family, ah ah
Get together kwa bed
Hio story tumekataa
Maboy wengine blanda
Watakukulia mama
Na wakuchekeshe sana
Madame madame, eh
Madame wa siku hizi
Wana machali wengi
Nilichapa mmoja juzi
Ikaingia ndani, dive

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

Popnable © 2015-2025

About ToS What's New Contact Us Privacy Copyrights (DMCA)