POPNABLE kenya kenya

  • Ukurasa wa nyumbani
  • Radio Hits 2024
  • Radio Popnable
  • Sajili
  • Ingia
  • Gundua
    • Gundua
    • Nyimbo
    • Wasanii Wa Muziki
  • Chati Za Muziki
    • Chati Za Muziki
    • Nyimbo 100 Kali - Kila Siku
    • Nyimbo 100 Bora - Kila Siku
    • Nyimbo 40 Bora
  • Ukurasa wa nyumbani
  • kenya
  • Nyimbo
  • Nimewasamehe
  • Maandishi Na Tafsiri

Maandishi Na Tafsiri - Nimewasamehe

— iliyoimbwa na Obby Alpha

"Nimewasamehe" maneno na tafsiri. Gundua ni nani aliyeandika wimbo huu. Tafuta ni nani mtayarishaji na muongozaji wa video hii ya muziki. "Nimewasamehe" mtunzi, nyimbo, mpangilio, majukwaa ya utiririshaji, na kadhalika. "Nimewasamehe" ni wimbo ulioimbwa kwenye kiswahili. "Nimewasamehe" inaimbwa na Obby Alpha
  • Ukurasa wa nyumbani
  • maandishi na tafsiri
  • chati za muziki
  • takwimu
  • mapato
  • nunua wimbo
Nimewasamehe Muziki wa video
Download New Songs

Listen & stream

×

Tazama kwenye Youtube

×
Video
Nimewasamehe
Nchi


 Kenya Kenya
Imeongezwa
01/01/1970
Ripoti
[Haihusiani na muziki ] [Ongeza Msanii Husika] [Ondoa Msanii Aliyeunganishwa] [Ongeza Nyimbo] [Ongeza Tafsiri ya Maneno]

"Nimewasamehe" Maneno ya Nyimbo

"Nimewasamehe" ina maneno katika lugha kiswahili.
"Nimewasamehe" maana inatokana na lugha kiswahili na kwa sasa haijabadilishwa hadi tafsiri ya Kiingereza.

Ndivyo Baba yangu wa Mbinguni atakavyowatenda ninyi,msiposamehe kwa mioyo yenu kila mtu ndugu yake, (Mathayo 18;35).

Ni maombi yangu kwa Mungu aunyooshe moyo wangu,wanaponikosea wengine nisiishie kusamehe na nikabaki na machungu akaseme na wewe pia kupitia ujumbe huu AMEN.

Producer - Mixing Doctor
Director - Avie

Lyrics

Nimewasamehe,Nimewasamehe
Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia.

Nimewasamehe,Nimewasamehe
Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia.

Hivi ni nani daktari wa ugonjwa wa moyo nimjue,
Anitibu tafadhali huu mzigo mzito niutue.
Maana maumivu ni makali nahitaji ukweli niongee,
Kusamehe mi sijali ila kuachilia ndo nashindwa.

Baba naona giza kwenye msamaha wangu ,na msamaha wako wewe haupo hivyo,Ukisamehe unafuta na kusahau.

Hivyo najidunduliza kijae kibubu changu , cha msamaha japo kifike hata robo,Nikisamehe nifute na kusahau.

Maana kiukweli nimesamehe ila nikikumbuka mojo unadunda TiTiTi,Nataka nisahau ili nikikumbuka hali iwe shwari.

Nimewasamehe,Nimewasamehe
Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia.

Baba wapo wale niliowakopesha wakanidhurumu
Tena wapo wale hawakujua kosa wakanihukumu

Baba wapo wale niliowapenda wakanisaliti
Tena wapo wale niliowapa siri wakazisambaza eeh

Haya ni maombi yangu Baba yangu eeeh
Nikisamehe ponya maumivu kwenye moyo wangu,
Hata nikiwaona nisije kukumbuka mabaya yao.

Pia ni maombi yangu Baba yangu eeh
Pia wanisamehe kwa yote mabaya nilotenda,
Hata wakiniona wasije kukumbuka mabaya yangu eeeh.

Baba naona giza kwenye msamaha wangu ,na msamaha wako wewe haupo hivyo,Ukisamehe unafuta na kusahau.

Hivyo najidunduliza kijae kibubu changu , cha msamaha japo kifike hata robo,Nikisamehe nifute na kusahau.

Maana kiukweli nimesamehe ila nikikumbuka mojo unadunda TiTiTi,Nataka nisahau ili nikikumbuka hali iwe shwari.

Nimewasamehe,Nimewasamehe
Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia.

Nimewasamehe,Nimewasamehe
Ila tatizo kuachilia,Mungu nifundishe kuachilia.

Popnable © 2015-2025

About ToS What's New Contact Us Privacy Copyrights (DMCA)